Wednesday, November 14, 2012

TMH 5TH ANNIVERSARY with LESS FORTUNATE KIDS

TANZANIA MITINDO HOUSE inalea watoto kadhaa ambao ni yatima, kwa siku ya kuadhimisha miaka mitano. 
Dada Khadija Mwanamboka Mlezi wa kituo cha TMH alipenda kuifanya siku hiyo kufurahi na watoto , hivyo basi ali alika vituo kadhaa vya watoto yatima ili wafurahi na watoto wenzao.
KILA MWAKA TAREHE 1 DECEMBA SIKU YA UKIMWI DUNIANI HUWA ANAFANYA EVENT KWA AJILI YA KUCHANGISHA FEDHA ZA KUWAWEZESHA WATOTO WALIO YATIMA SABABU YA UKIMWI . UKIPENDA KU SUPORT NAMBA YAKE NI HII 0713 55 10 77.
THIS YEAR EVENT ITAFANYIKIA SERENA HOTEL.

the cake yummy!

DADA KHADIJA ANALISHA CAKE
Hawa ni baadhi ya watoto anao walea .

the kids had their lunch 
THEN HAPPY TIME......walichezaa hadi rah a .
dumbukia / click hapo kwa picha zaidi uone yaliyojiri
FACE PAINTING
RAHA YA TRAMPOLINE ..                              

These were all: About 70 kids were hosted from various Orphanage Centre ! Dada Khadija you are blessed and one in a million. Such a big heart .. am speechless and Proud to be part of this great cause. Hopeful Next year we shall support even more.

picha zote Asante 8020fashions blog!


No comments:

Post a Comment